Vertel uw vrienden over dit artikel:
Bata Wa Kuruka Caroline Munywoki
Bata Wa Kuruka
Caroline Munywoki
Kitabu hiki ni juu ya mapigano kati ya mema na mabaya, kuonyesha dhamiri na maadili ya mwanadamu; kuzingatia matokeo ya mazoea mazuri, ambapo wanaume na wanawake wachache wazuri washinda vizuizi vingi vibaya na vichungu kwa siku zijazo kubwa. Inasisitiza umuhimu wa uvumilivu katika msimamo mzuri na wenye maadili ili kufikia utajiri wa milele, usioisha na furaha isiyo na masharti.
| Media | Boeken Paperback Book (Boek met zachte kaft en gelijmde rug) |
| Vrijgegeven | 3 februari 2020 |
| ISBN13 | 9781796085266 |
| Uitgevers | Xlibris US |
| Pagina's | 86 |
| Afmetingen | 216 × 216 × 6 mm · 231 g |
| Taal en grammatica | Swahili |
Kerstcadeautjes kunnen tot en met 31 januari worden ingewisseld